Wanajumuiya wapya wa Rozari Hai wanafunzi wa shule ya sekondari Kinzudi iliyopo manispaa ya Ubungo Dar es Salaam wakifurahia kujiunga na Rozari Hai na kupewa visakramenti vyao. Pichani ni mratibu wa Rozari Hai Bibi Fortunata R. K. Masaka akiwa na wanafunzi na mwalimu wao February 11, 2020