Rozari Hai si Ibada mpya, hapana!
Rozari hai ni njia ya kusali Rozari (tasbihi4) kwa njia ya kusali watu 20.
*Sababu nzuri za Kusali Rozari*
1.Kupata amani duniani _(Bibi Yetu wa Fatima, 1917)_
2.Kulinda amani katika familia _(Papa Pio XII)_
Rehema kamaili inakirimiwa kwa kusali tendo moja la mafumbo matano, usalipo Kanisani katika sala ya halaiki, usalipo katika familia, katika nyumba
Tafakari ya mafumbo ya Rozari ni sehemu iliyo muhimu sana katika Sala ya Rozari. Tukiacha tafakari. Rozari yetu itabaki kama vile mwili bila roho.