Kusudi/ lengo la Rozari hai ni kumwomba Mungu, kupitia maombezi ya Mama yetu wa Rozari, kwa kulinda Imani katika Nchi za Kikatoliki, wongofu wa wakosefu, uimarishaji wa wenye haki, na ukuzaji wa Kanisa Takatifu.