Wanajumuiya wa Roza Hai wa parokia za Kimara Mwisho, Matosa, Mavurunza, Tagaste, Temboni, Mbezi Luis wa jimbo kuu la Dar es Salaam wakifurahia utume wao na visakrament walivyopokea katika semina hiyo February 2020.