Wanarozari Hai Wapya Leo 13/ May/2020 wamepokelewa ktk jumuiya ya Rozari Hai Ulimwenguni wa parokia ya Ifakara.Mama Maria awashike mkono. Mt.Filomena awapandishe mpaka juu Mbinguni kwa maombezi yake. Hongera sana Esta Mkoma kuwaleta kondoo kwa Yesu kwa njia Maria.
Mratibu wa Rozari Hai Ulimwenguni. Bibi Fortunata R.W.Masaka