31 May 2022 Wanarozari hai Parokia ya Kibaoni-Ifakara walimsindikiza Mama Maria kwenda kwa Elizabeth  kuwatembelea watoto yatima walio parokia ya K

Wafanyakazi wa ofisi kuu ya Rozari hai ulimwenguni wanawatakia heri na fanaka katika siku ya leo kwa historia ya kanisa na utume wa Rozari hai 22 May

Jipatie kitabu cha Mt.Yosefu Msimamizi wa Kanisa la Ulimwengu- 0717 55 82 22

Wanarozari Hai wapya kigango cha Kibaoni jimboni /Ifakara Leo 31/5/2020.

Wanarozari Hai wapya kigango cha Kilama Kibaoni jimboni Ifakara Leo 31/5/2020.Mama Maria na Mtakatifu Filomena wawasimamie.

WANAJUMUIA wapya kigango cha Kilama Kikwawila kibaoni Parokia ya Kibaoni

Wanajumuiya wa Roza Hai wa parokia za Kimara Mwisho, Matosa, Mavurunza, Tagaste, Temboni, Mbezi Luis wa jimbo kuu la Dar es Salaam wakifurahia utum

Wanajumuiya wapya wa Rozari Hai wanafunzi wa shule ya sekondari Kinzudi iliyopo manispaa ya Ubungo Dar es Salaam wakifurahia kujiunga na Rozari Hai

Pages